Nenda kwa yaliyomo

Anthea Ramolobeng

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anthea Ramolobeng ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye ni Mbunge wa Bunge la Taifa kwa tiketi ya chama cha African National Congress (ANC).

Pia ni mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Huduma za Magereza (Portfolio Committee on Correctional Services).

    Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Anthea Ramolobeng kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.