Nenda kwa yaliyomo

António de Sousa Braga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

António de Sousa Braga S.C.I. (15 Machi 1941 – 22 Agosti 2022) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Ureno.

Alizaliwa nchini Ureno akapewa daraja ya upadre mwaka 1970. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Angra, Ureno, kuanzia 1996 hadi alipostaafu mwaka 2016.[1]

  1. "Bishop António de Sousa Braga". Catholic-Hierarchy. Iliwekwa mnamo 23 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.