António Costa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

António Luís Santos da Costa (amezaliwa 17 Julai 1961) ni wakili na mwanasiasa wa Ureno anayehudumu kama Waziri Mkuu wa 119 na wa sasa wa Ureno tangu 26 Novemba 2015.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu António Costa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.