Nenda kwa yaliyomo

Ansu Fati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anssumane "Ansu" Fati Vieira (alizaliwa 31 Oktoba, 2002) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Hispania ambaye anacheza kama mshambuliaji au winga kwa klabu ya AS Monaco FC katika ligue 1, akiwa kwa mkopo kutoka klabu ya FC Barcelona|Barcelona. Alizaliwa Guinea-Bissau, na anachezea timu ya taifa ya Hispania.[1]

  1. "Ansu Fati's father explains Barcelona signing: "Madrid offered us better terms..."". AS.com. Diario AS. 26 Agosti 2019. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Desemba 2019. Iliwekwa mnamo 26 Agosti 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ansu Fati kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.