Anselmo wa Lucca
Mandhari
(Elekezwa kutoka Anselm ya Lucca)
Anselmo wa Lucca (jina la kuzaliwa Anselmo wa Baggio, kwa Kiitalia: Anselmo da Baggio; 1036 – 18 Machi 1086) alikuwa askofu wa Lucca, Italia, katika zama za Kati na mtu mashuhuri katika Mgogoro wa Usimikaji (Investiture Controversy), wakati wa mvutano kati ya Matilda wa Canossa, mtawala wa Toscana, na Mfalme Heinrich IV wa Ujerumani.
Ndugu wa baba yake, Anselm, alikalia kiti cha askofu wa Lucca kabla ya kuchaguliwa kuwa papa kama Papa Alexander II, na hivyo mara nyingine anajulikana kama Anselm Mdogo au Anselm II.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cushing, Kathleen G. (1998). "Anselm of Lucca: A Sainted Gregorian Bishop". Papacy and Law in the Gregorian Revolution. Oxford Historical Monographs. Clarendon Press. ku. 42–63. doi:10.1093/acprof:oso/9780198207245.003.0003. ISBN 0-19-820724-7.
- ↑ This is according to Salvador Miranda.The Cardinals of the Holy Roman Church Other sources consulted do not mention his promotion to the cardinalate. He is not listed among the cardinals of the 11th century in the modern printed prosopographies of the cardinals of that period (R. Hüls, Kardinäle, Klerus und Kirchen Roms: 1049–1130, Tübingen 1977; H.W. Klewitz, Reformpapsttum und Kardinalkolleg, Darmstadt 1957; K. Ganzer, Die entwicklung des auswärtigen Kardinalats im hohen Mittelater, Tübingen 1963)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |