Anne Kilango Malecela
(Elekezwa kutoka Anne Malecela)
Anne Kilango Malecela (amezaliwa tarehe 9 Januari 1956) ni mbunge wa jimbo la Same Mashariki katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia[hariri | hariri chanzo]
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ ["Mengi kuhusu Anne Kilango Malecela". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 2010-11-13. Mengi kuhusu Anne Kilango Malecela]
Viungo vya nnje[hariri | hariri chanzo]
- Tovuti ya Bunge la Tanzania
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |