Anna Yaroslavna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anne wa Kiev

Anna Yaroslavna (alizaliwa 1030 - alifariki 1075) alikuwa malkia wa Ufaransa mnamo mwaka 1051 baada ya kuolewa na Mfalme Henry I. Baada ya kifo cha Henry mwaka wa 1060. alitawala kwa mabavu wakati wa utawala wa mtoto wao Philip wa Kwanza. Ndoa yake ilikumbwa na mabishano yaliyoanzishwa na Count Ralph IV wa Valois. Anna alianzisha abbay of St. Vincent huko Senlis.[1]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Yaroslavna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Gregorovich, Andrew (2011). Anna Yaroslavna, Queen of France & Princess of Ukraine: Anne De Kiev. Toronto: Forum.