Anna Valerian Komu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Anna Maulidah Komu)
Faili:Bi Komu.JPG
Bi. Komu

Anna Valerian Komu (Bi. Komu) anatokea chama pinzani (CHADEMA), pia ni Kaimu Mkurugenzi wa taifa wa idara ya wanawake ya Chadema. Bi. Komu alizaliwa tarehe 15 Januari 1950 katika wilaya ya Mjini Magharibi, Zanzibar, Tanzania.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anna Valerian Komu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.