Nenda kwa yaliyomo

Anna Joram Gidarya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anna Joram Gidarya (alizaliwa 23 Septemba 1982), ni mwanasiasa Mtanzania. Alichaguliwa kuwa mbunge wa Viti Maalum kwa miaka 20152020 kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, Anna Gidarya alijiondoa CHADEMA na kujiunga na CCM. Kwa sasa ni Mkuu wa Wilaya ya Ileje mkoani Songwe.

    Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
    Je, unajua kitu kuhusu Anna Joram Gidarya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
    Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
    Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.