Anna Diop
Mandhari
| Anna Diop | |
|---|---|
| Amezaliwa | Mame-Anna Diop 06/02/1988 Senegal |
| Kazi yake | Mwigizaji |
| Miaka ya kazi | 2006 hadi sasa |
Mame-Anna Diop (amezaliwa Februari 6, 1988) ni mrembo na mwigizaji kutoka Senegal[1]. Majukumu yake makubwa ya mwanzo yalikuwa kama mchezaji wa mfululizo wa The Messengers (2015) kwenye kipindi cha The CW na filamu ya Fox iitwayo 24: Legacy (2017). Diop alifikia umaarufu wake zaidi kwa kuigiza Kory Anders / Starfire kwenye safu ya Titans inayotengenezwa na DC Universe / HBO Max kuanzia mwaka 2018 hadi 2023. Nje ya televisheni, aliongoza filamu ya kutisha kiakili iitwayo Nanny (2022).[2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anna Diop kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
- ↑ "Five Things You Didn't Know About Anna Diop - TVovermind" (kwa American English). 2017-08-28. Iliwekwa mnamo 2025-09-27.
- ↑ Sarah Ahern (2017-01-19). "Anna Diop Previews Her 'Strong, Brave' Character in Fox's '24: Legacy'". Variety (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-09-27.
- ↑ Nellie Andreeva (2016-02-17). "'24: Legacy' Casts Anna Diop In Co-Starring Role". Deadline (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-09-27.