Nenda kwa yaliyomo

Ann Sidney

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ann Sidney (alizaliwa Machi 27, 1944) ni mwigizaji, mtangazaji wa televisheni, na mrembo wa Uingereza aliyeshinda shindano la Miss World mwaka 1964 akiwakilisha Uingereza[1][2].

  1. "Miss World 1964 – Ann Sidney – United Kingdom". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-04-29. Iliwekwa mnamo 2010-10-10.. missworld.com
  2. "The McLennan-Sidney Wedding Blessed by Brilliant Sunshine". The Australian Women's Weekly. Juz. 38, na. 33. 13 Januari 1971. uk. 10. Iliwekwa mnamo 16 Septemba 2021 kutoka National Library of Australia.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ann Sidney kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.