Nenda kwa yaliyomo

Ann Jonas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ann Jonas (Alizaliwa 28 Januari, 1932 -Alifariki 29 Septemba, 2013)[1] alikuwa mwandishi na mchoraji wa vitabu kadhaa vya picha kwa ajili ya watoto kutoka Marekani. Vitabu vyake mara nyingi vilitumia picha za ajabu na za kufikirika ili kunyoosha mawazo ya watoto.

  1. ↑ "Author Ann Jonas Dies, New CLA "Briefings" Posted". Bay Views. Iliwekwa mnamo Septemba 25, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)