Nenda kwa yaliyomo

Anjelo Tancredi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anjelo Tancredi (Rieti, 1195 - Assisi, 13 Februari 1258) alikuwa mmojawapo kati ya wafuasi wa kwanza wa Fransisko wa Asizi [1].

Kumbukumbu zake zilizoandikwa zimechangia sana vitabu mbalimbali kama vile Ngano za Wenzi Watatu.

  • Riccardo Pratesi, ANGELO da Rieti, in Dizionario biografico degli italiani, vol. 3, Roma, Istituto dell'Enciclopedia Italiana, 1961.