Nenda kwa yaliyomo

Anita Wiredu-Minta

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anita Wiredu-Minta (alizaliwa 4 Septemba, 1983) ni meneja wa mpira wa miguu wa Ghana, afisa wa uhamiaji, na mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa wanawake wa kulipwa.

Kwa sasa ni kocha msaidizi wa klabu ya mpira ya Immigration Ladies inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Ghana, na pia ni meneja wa timu ya taifa ya wanawake ya Ghana.[1]

Katika kipindi cha uchezaji wake, alikuwa akicheza kama mshambuliaji kwa klabu za Ghatel Ladies, Immigration Ladies, pamoja na timu ya taifa ya Ghana.[2]

  1. "RFI - 5e CAN féminine: la sélection ghanéenne". www1.rfi.fr. Iliwekwa mnamo 2021-07-28.
  2. "Grioo.com : Mbeki annonce une Coupe du Monde réussie en Afrique du Sud". www.grioo.com. Iliwekwa mnamo 2021-07-28.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anita Wiredu-Minta kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.