Anita Takura
Mandhari
Anita Takura ni msomi wa Ghana katika nyanja za Sayansi ya Kilimo na Mazingira. Takura alitunukiwa tuzo ya ufadhili wa masomo ya L'Oreal-UNESCO mnamo mwaka 2013. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "2013 Fellowships | United Nations Educational, Scientific and Cultural Organization". www.unesco.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2017-11-04.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anita Takura kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |