Nenda kwa yaliyomo

Anita Erskine

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anita Erskine (amezaliwa Vered - Marian Anita Erskine; 3 Desemba 1978) ni mjasiriamali wa vyombo vya habari na mawasiliano kutoka Ghana, mtangazaji wa redio na televisheni, pamoja na mtangazaji wa vipindi vya mazungumzo (talk show) anayetangaza kwa lugha ya Kiingereza na Kifaransa. Pia ni msimamizi wa shughuli (compère), mwigizaji na mtetezi wa elimu ya wasichana.

Yeye ni mtayarishaji mkuu na mtangazaji wa kipindi cha Anita Erskine's Sheroes (awali kilijulikana kama Sheroes of Our Time), kinachorushwa kupitia mtandao wa Anita Erskine kwenye YouTube pamoja na kituo cha Akwaaba Magic kwenye DSTV. Pia ni mtangazaji rasmi na mshauri wa mpango wa Africa's Business Heroes (zamani Africa Netpreneur Prize Initiative), ambao ni mpango wa ujasiriamali wa hisani wa Jack Ma Foundation barani Afrika.[1][2][3][4][5][6]

  1. Brand Woman Africa (1 Aprili 2020). [(https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/NewsArchive/Anita-Erskine-appointed-host-of-Africa-Netpreneur-Prize-Initiative-2020-910339) "Anita Erskine appointed host of Africa Netpreneur Prize Initiative 2020"]. ghanaweb. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2021. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  2. ghanaweb media (23 Julai 2020). [(https://www.ghanaweb.com/person/Anita-Erskine-3866) "Anita Erskine"]. ghanaweb. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2021. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  3. [(https://web.archive.org/web/20160304084218/http://www.ghanatrade.gov.gh/Latest-News/anita-erskine-to-host-viasat-1s-the-one-show.html) "Anita Erskine to host Viasat 1′s 'The One Show'"]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.ghanatrade.gov.gh/Latest-News/anita-erskine-to-host-viasat-1s-the-one-show.html) chanzo] mnamo 4 Machi 2016. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2016. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
  4. [(https://web.archive.org/web/20181010134821/http://www.spectator.com.gh/i-wont-be-carried-away-%E2%80%A2-anita-erskine-discusses-career-prospects-her-move-to-starr-fm/) "I won't be carried away! • Anita Erskine discusses career prospects & her move to Starr FM"]. The Spectator. 25 Aprili 2015. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.spectator.com.gh/i-wont-be-carried-away-%E2%80%A2-anita-erskine-discusses-career-prospects-her-move-to-starr-fm/) chanzo] mnamo 10 Oktoba 2018. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2016. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
  5. ghanaweb (7 Novemba 2017). [(https://www.ghanaweb.com/GhanaHomePage/entertainment/Anita-Erskine-is-new-face-of-Tales-from-the-Powder-Room-597889) "Anita Erskine is new face of 'Tales from the Powder Room'"]. ghanaweb. Iliwekwa mnamo 24 Machi 2021. {{cite web}}: Check |url= value (help)
  6. ["KKD) & Anita Erskine to host Miss Ghana finals". 7 Novemba 2012. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anita Erskine kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.