Anisia Uzeyman
Mandhari
Anisia Uzeyman (alizaliwa Anisziya Uwizeyimana, Februari 1975) ni Mwanarwanda mwanamke mwigizaji[1] na mwandishi wa michezo ya kuigiza.[2][3] Pia anajulikana zaidi kama mwenza wa kutengeneza filamu pamoja na Saul Williams wa filamu ya mwaka 2021 Neptune Frost.[4] Alizaliwa Gihindamuyaga, Mbazi, Rwanda.
Filamu
[hariri | hariri chanzo]
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Filmy". SME (newspaper) (kwa Slovak). 11 Novemba 2002. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2011.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "Rwandan Director Anisia Uzeyman Asks: "Can Black Love Survive the American Dream?"". reelydope.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Novemba 2021. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "LA Film Fest 2016 Women Directors: Meet Anisia Uzeyman – "Dreamstates". womenandhollywood.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-12-29. Iliwekwa mnamo 29 Desemba 2018.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Wendy Ide, "‘Neptune Frost’: Cannes Review". Screen Daily, 14 July 2021.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anisia Uzeyman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |