Angelo De Donatis
Mandhari
Angelo De Donatis (alizaliwa 4 Januari 1954) ni askofu wa Kanisa Katoliki la Italia.
Amekuwa Major Penitentiary tangu Aprili 2024. Alikuwa Askofu Mkuu na Kardinali Makamu wa Papa kwa Kanisa Kuu la Mtakatifu Yohane Laterani kutoka mwaka 2017 hadi 2024.
Kabla ya kuteuliwa kuwa Kardinali Makamu, De Donatis alikuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo la Roma.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Descrizione dello stemma episcopale di S.E.R. Mons. Angelo De Donatis" (PDF). Parish of the Basilica of St. Mark the Evangelist. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 21 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 6 Julai 2017.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |