Angela Ruhinda
Mandhari
Angela Ruhinda ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu za bongo kutoka Tanzania. Mnamo 2013, aliuza kipindi cha majaribio kilichoitwa Iman & Andy kwenye televisheni ya ABC, kilichoandaliwa na Mtayarishaji Mkuu anayeitwa Whoopi Goldberg,[1][2]
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Mnamo 2016, Angela aliandika filamu ya TV ya Hallmark iliyoigizwa na Lacey Chabert inayoitwa 'Moonlight In Vermont'. Miaka miwili baadaye, Angela na dada yake walianzisha kampuni ya uzalishaji nchini Tanzania na waliipa jina la Black Unicorn Studios. Kwa pamoja, walitayarisha tamthilia mbili za awali (zilizoandikwa na kuongozwa na Angela) na filamu moja iliyoshinda tuzo iliyoitwa ‘Binti’ ambayo inaonyshewa kwa sasa kwenye Netflix.[1][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- 1 2 Hadeeqa Saman. "Angela Ruhinda". NYFA (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-08-22.
- ↑ blcklst.com https://blcklst.com/profile/Angela-R. Iliwekwa mnamo 2025-08-22.
{{cite web}}: Missing or empty|title=(help) - ↑ "Tanzania's Angela Ruhinda pens Netflix's newest heist comedy, 'Inside Job'". The Citizen (kwa Kiingereza). 2025-06-06. Iliwekwa mnamo 2025-08-22.