Angel Lagdameo
Mandhari
Angel Nacorda Lagdameo (2 Agosti 1940 – 8 Julai 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ufilipino.
Alikuwa Askofu Mkuu wa Jaro kuanzia tarehe 9 Mei 2000 hadi 14 Februari 2018.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Most Rev. Angel N. Lagdameo". Catholic Bishops' Conference of the Philippines. Iliwekwa mnamo 22 Januari 2008.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |