Angélico Vieira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sandro Milton Vieira Angélico
Amezaliwa 1 januari 1983
Ureno
Amekufa 28 juni 2011
porto
Nchi Ureno
Majina mengine Angélico Vieira
Kazi yake Mwimbaji


Angélico Vieira (31 Desemba 198228 Juni 2011), ambaye jina lake kamili ni Sandro Milton Vieira Angélico, alikuwa mwigizaji na mwimbaji wa Ureno. Alikuwa mwanachama wa bendi ya wavulana ya Ureno, D'ZRT . [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Portuguese pop star dies after horrific car crash", The Portugal News, 2 July 2011. Retrieved on 11 July 2011. Archived from the original on 2012-03-18. 
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angélico Vieira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.