Angèle Etoundi Essamba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Angèle Etoundi Essamba ni mpiga picha wa Kamerun anayeishi na kufanya kazi mjini Amsterdam. Binti maarufu zaidi kwa kazi yake ya upigaji picha nyeusi na nyeupe za binadamu, ambayo mara nyingi alilenga mada kwa wanawake wa kiafrika . Essamba ni mmoja wa wapiga wanawake Afrika waliotukuzwa na kutunzwakatika kizazi chake, ambaye amepata maonyesho Zaidi ya 200 ulimwenguni, na zaidi ya 50 kwa uchapichaji wa wa majarida na magazeti.[1]

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Angèle Etoundi Essaamba alizaliwa Douala, nchini Cameroon, mnamo mwaka 1962, na alikulia Yaounde.[2] At 9-10 years old, she moved to Paris, where she lived up through receiving her highschool education.[3] Basi na mnamo 1982,aliolewana kuelekea Amsterdam (Netherlands) ambapo alianza kujifunza upiga picha katika Nederlandse Fotovak school (Dutch School for Professional Photography).[4] Essamba alisoma katika mji wa Paris,akisomea Falsafa,uchezaji muziki na upigaji wa picha..[5]

Kazi ya upigaji picha[hariri | hariri chanzo]

Essamba ni mpiga picha aliyelenga wanawake wa kiafrika na kusitisha ubaguzi wa kijinsia. Anafanya kazi ya kuhamasisha majadiliano kati ya watu na tamaduni, na aliwapa sauti na uthamanini. Sanaa yake haikua tu na msukumo wa kisasa,lakini kwa asili ya kiafrika na mazingira anuwai ya kiutamaduni ya nchi zake.[4] Uchoraji ni uzoefu wake binafsi, historia, tamaduni,Mtazamo na ushawishi wa mazingira,Mpiga picha Essamba anaunganisha mbinu na hisia kali za mihemko.[4] kwa kuongezea, anafafanua mipaka kati ya hali halisi ya upigaji picha, maoni ya kijamii na kisiasa, upigaji picha wa kumbukumbu na maandishi,wakati wa maonyesho na maono ya kupendezwa na watu weusi, na mwili wa mwanamke.[3]

Maonyesho yake ya kwanza ilikua ni mnamo mwaka 1984 katika Gallerie Art Collective ya Amsterdam. Mwendelezo wake 1995 wa upigaji picha nyeusi na nyeupe, White Line, Alitunukiwa Prix Spécial Afrique katika maonyesho ya des Trois Continents, Nantes ya mwaka 1996. Alionyesha kazi zake za maonyesho mafupi ya Africa, Asia, Europe, Latin America, the United Arab Emirates and the United States[6] ikiwa pamoja na: Bienal de La Habana (1994), Venice Biennale (1994), Johannesburg Biennale (1995), TamashA L la bara tatu (1996).[4]

Tangu wakati wa mwanzo ya maonyesho yake nchini Amsterdam mnamo mwaka 1985, chombo cha Essamba kimeonyeshwa kwa kiwango cha juu Zaidi katika taasisi izo, biennales, na fairs. Sehemu hii ilijulikana kama Venice, Havana, Dakar, Johannesburg, and Bamako,pamoja na hafla pote Afrika, Europe, the United States, Cuba, Mexico, and China. Hivi karibuni ameshikilia monografia maonyesho ya kazi yake Binti wa maisha wa Munich, kwa Museum Fünf Kontinente mnamo mwaka 2018.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Introducing Angele Etoundi Essamba: the photography of Angele Etoundi has garnered international acclaim. In this wide-ranging interview for New African, she explains to Femi Akomolafe something of her childhood in Cameroon before moving to live in France, and what currently motivates her amazing work. New African (2013). Iliwekwa mnamo 4 March 2016.
  2. 'As It Is !' : Contemporary African Art Exhibition Series. Iliwekwa mnamo 18 February 2017.
  3. 3.0 3.1 3.2 Angèle Etoundi Essamba (en-US).
  4. 4.0 4.1 4.2 4.3 Angèle Etoundi Essamba. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-09-23. Iliwekwa mnamo March 7, 2015.
  5. Hassan, Salah (1997). Gendered Visions. Trenton, New Jersey: Africa World Press. p. 102. 
  6. Essamba, Angèle Etoundi. Oxford Art Online. Iliwekwa mnamo 7 March 2015.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Angèle Etoundi Essamba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.