Anele Ngcongca
Mandhari
Calvin Anele Ngcongca (21 Oktoba 1987 – 23 Novemba 2020) alikuwa mchezaji wa soka wa kulipwa kutoka Afrika Kusini aliyekuwa akicheza nafasi ya beki wa kulia.
Taaluma
[hariri | hariri chanzo]Tarehe 29 Agosti 2015, Ngcongca alijiunga na ES Troyes AC kwa mkopo wa msimu mmoja kutoka Genk, baada ya kuwekwa benchi na kocha wake mkuu.
Tarehe 23 Novemba 2020, Anele Ngcongca alifariki katika ajali ya gari kwenye barabara kuu ya N2 huko KwaZulu-Natal. Kabla ya kifo chake, alikuwa akiichezea AmaZulu.
Mafanikio
[hariri | hariri chanzo]Genk
Mamelodi Sundowns
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ https://www.sowetan.co.za/sport/soccer/2020-11-17-anele-ngcongca-set-to-fortify-amazulu-backline/
- ↑ https://web.archive.org/web/20201123135806/https://www.enca.com/sport/anele-ngcongca-33-dies
- ↑ https://www.bbc.com/sport/football/35018177
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anele Ngcongca kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |