Aneityum
Jump to navigation
Jump to search
Aneityum ni kisiwa cha Vanuatu. Kiko upande wa kusini kabisa wa visiwa vya Vanuatu. Eneo la kisiwa ni 159 km². Kuna vijiji viwili tu kisiwani. Mwaka wa 2009 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa 915. Watu wakaao kisiwani kwa Aneityum huongea Kianeityum.
![]() |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.
|