Andy Greig
Mandhari
Andrew John Smith Greig (19 Oktoba 1893 - 1925) alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Uskoti ambaye alicheza kama golikipa katika Ligi ya mpira wa miguu ya Uskoti akiwa na klabu ya Aberdeen na Darlington.[1][2] Vile vile alicheze timu zingine mbalimbali kama Mugiemoss, Raith Rovers (alijunga kwa mkopo), Shildon, Peterhead na Montrose.[2] Pia alikua ni kiziwi.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Joyce, Michael (2004). Football League Players' Records 1888 to 1939. Nottingham: SoccerData. uk. 107. ISBN 978-1-899468-67-6.
- 1 2 "Andy Greig". Aberdeen FC Heritage Trust. Iliwekwa mnamo 22 Aprili 2023.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Lloyd, Chris (28 Agosti 2002). "Deaf keeper's downfall". The Northern Echo. Darlington. uk. 6 – kutoka Newsbank.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Andy Greig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |