Nenda kwa yaliyomo

Andrzej Maria Deskur

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaburi la Kardinali katika nchi yake ya asili ya Polandi.

Andrzej Maria Deskur (29 Februari 19243 Septemba 2011) alikuwa Rais mstaafu wa Baraza la Kipapa la Mawasiliano ya Kijamii na Kardinali wa Kanisa Katoliki.[1]

  1. "Andrzej Maria Deskur h. Góra Złotoskalista".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.