Nenda kwa yaliyomo

Andris Liepa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andris Liepa (alizaliwa Moscow, USSR, 6 Januari 1962) ni mnenguaji wa ballet wa Urusi, mwongozaji, na mtayarishaji mwenye asili ya Kilatvia akiwa pia ni mtoto wa aliyekuwa mnenguaji wa Bolshoi Ballet, Māris Liepa. [1]

  1. "МАРИС ЛИЕПА | Благотворительный фонд имени Мариса Лиепы". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-11-18. Iliwekwa mnamo 2011-12-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andris Liepa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.