Andriëtte Norman

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andriëtte Norman, mara nyingi hujulikana kwa jina la Andriëtte, ni mwimbaji wa Kiafrikana kutoka kitongoji cha Cape Town Brackenfell. [1]

Mnamo 2007 Andriëtte alikuwa mshindi wa pili katika msimu wa nne wa mashindano ya Idols Afrika Kusini, [2] . Alitoa albamu yake ya kwanza iliyojuliknana kwa jina la Diamant, mwaka 2008, ikifuatiwa na nyingine kadhaa kama vile Dink Aan My (2009), Vat My Hoër (2011), Wat Rym Met Liefde (2013), na Pêrel vir 'n Kroon (2015).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Idols 10 – Andriette Norman. Times Live. Times Media Group (18 October 2007). Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-06-07. Iliwekwa mnamo 2016-02-01.
  2. The Youngest SA Idol: Jody Williams. Times Live. Times Media Group (10 December 2007). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-04. Iliwekwa mnamo 2016-02-01.
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andriëtte Norman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.