Nenda kwa yaliyomo

Andrew Yeom Soo-jung

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andrew Yeom Soo-jung (alizaliwa 5 Desemba 1943) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka Korea Kusini ambaye alikuwa Askofu Mkuu wa Seoul kutoka 2012 hadi 2021, akiwa pia na cheo cha Msimamizi wa Kipostoli wa Jimbo la Pyongyang nchini Korea Kaskazini.

Papa Fransisko alimteua kuwa kardinali mwaka 2014. Alikuwa pia mwenyekiti wa Shirika la Habari la Amani la Kanisa Katoliki (CPBC).[1]

  1. "For new Korean cardinal, red of martyrdom is part of family history". National Catholic Reporter. Catholic News Service. 4 Februari 2014. Iliwekwa mnamo 29 Oktoba 2021.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.