Andrej Kramarić

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Andrej Kramarić
binadamu
Jinsiamume Hariri
Nchi ya uraiaKroatia Hariri
Nchi anayoitumikiaKroatia Hariri
Jina katika lugha mamaAndrej Kramarić Hariri
Jina halisiAndrej Hariri
Jina la familiaKramarić Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa19 Juni 1991 Hariri
Mahali alipozaliwaZagreb Hariri
Lugha ya asiliKikroatia Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKikroatia Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuforward Hariri
Muda wa kazi2009 Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Namba ya Mchezaji27 Hariri
AmeshirikiKombe la Dunia la FIFA 2018, UEFA Euro 2016 Hariri
LigiBundesliga, Ligi Kuu Uingereza Hariri

Andrej Kramarić (alizaliwa 19 Juni 1991) ni mchezaji wa soka wa klabu ya Kroatia ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Ujerumani 1899 Hoffenheim na timu ya taifa ya Kroatia.

Kramarić alianza kazi yake ya soka katika klabu yake ya jiji la Dinamo Zagreb. Alicheza na kuonekana rasmi katika klabu hiyo ya Dinamo akiwa na umri wa miaka 17.

Mwaka 2013, baada ya kuwa na mgogoro na bodi ya wakurugenzi wa Dinamo, Kramarić alihamishiwa na kwenda katika klabu ya HNK Rijeka, ambako alifunga magoli 37 katika michezo 42 ya ligi kabla ya kuhamia Leicester City kwa rekodi £ 9 milioni. Alicheza mwaka na nusu pale, akitumia wakati wa mkopo katika klabu ya 1899 Hoffenheim kabla ya kuhamia huko kwa kudumu.

Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrej Kramarić kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.