Nenda kwa yaliyomo

Andreas Tanberg Gløersen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hans Andreas Tanberg Gløersen (16 Februari 1836 – 1 Septemba 1904) alikuwa msimamizi wa misitu kutoka Norway.

Alizaliwa katika Nordre Aurdal huko Oppland akiwa mtoto wa daktari Jørgen Gustav Gløersen (1806–1884) na Gunda Sophie Cathrine Tanberg (1811–1899). Alifanya mtihani wa examen artium mwaka 1853. Alipata Shahada ya Uzamili ya Sheria mwaka 1858, na baadaye shahada ya misitu katika Chuo Kikuu cha Giessen mwaka 1860.[1]


  1. Jon Gunnar Arntzen. [(https://snl.no/Gl%C3%B8ersen) "Gløersen"]. Store norske leksikon. Iliwekwa mnamo Februari 1, 2018. {{cite web}}: Check |url= value (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andreas Tanberg Gløersen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.