Andrea Gemma
Mandhari
Andrea Gemma (7 Juni 1931 – 2 Septemba 2019) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alipata kuwa padri mwaka 1957 akawa askofu wa Jimbo la Isernia-Venafro nchini Italia kuanzia mwaka 1991 hadi 2006.[1]
Gemma alijulikana kama mwingaji pepo, jambo ambalo ni la kawaida kwa askofu, na aliandika kitabu kiitwacho "Confidenze di un esorcista" kilichochapishwa na Villadiseriane mwaka 2009.[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Diocese of Isernia–Venafro, Italy". gcatholic.org. Iliwekwa mnamo 2019-09-02. [self-published]
- ↑ "9788896199176: Confidenze di un esorcista - AbeBooks: 8896199174". www.abebooks.com.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |