Andrés Manuel López Obrador

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Andrés Manuel López Obrador (anajulikana sana kama AMLO; amezaliwa 13 Novemba 1953) ni Rais wa 58 na wa sasa wa Mexiko, tangu tarehe 1 Disemba 2018.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrés Manuel López Obrador kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.