André Villas Boas

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
André Villas Boas

Andre Villas Boas (amezaliwa 17 Oktoba 1977 mjini Porto) ni kocha wa mpira wa Kireno. Yeye ni mwanafunzi wa José Mourinho.

Alikuwa ni msaidizi wa Mourinho katika timu ya Porto mwaka 2003, Chelsea 2004-2007 na hatimaye na Inter Milan mwaka 2008. Baada ya msimu wa 2009, aliamua kuwa kocha mkuu wa Académica de Coimbra. Hivi sasa ni kocha wa timu ya  Shanghai SIPG iliyokuwa ikifunzwa na Sven-Göran Eriksson.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu André Villas Boas kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.