Anderson Talisca

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anderson Talisca

Anderson Talisca (anayejulikana pia kama Talisca tu; alizaliwa tarehe 1 Februari mwaka 1994) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza klabu ya China Guangzhou Evergrande, kwa mkopo kutoka klabu ya Ureno Benfica.

Anaweza kucheza kama kiungo mshambuliaji au mbele.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anderson Talisca kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.