Anca Petrescu
Mandhari
Mira Anca Victoria Mărculeț Petrescu (20 Machi 1949 – 30 Oktoba 2013) alikuwa msanifu majengo na mwanasiasa wa Romania. Anajulikana zaidi kwa kuwa msanifu mkuu wa Palace of the Parliament|Jumba la Bunge (Palatul Parlamentului) mjini Bucharest, ambalo ni jengo la pili kwa ukubwa duniani baada ya Pentagon.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- "Anca Petrescu, Architect of Giant Romanian Palace, Dies at 64" - The New York Times.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anca Petrescu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |