Anastasi wa Sens
Mandhari
Anastasi wa Sens (alifariki 7 Januari 977) alikuwa askofu wa 40 wa Sens, Ufaransa kuanzia mwaka 967 au 968 hadi kifo chake [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |