Anastase Murekezi
Mandhari

Anastase Murekezi (alizaliwa 15 Juni 1952) ni mwanasiasa kutoka Rwanda. Alisoma katika Groupe Scolaire Officiel de Butare (GSOB) na baadaye akaenda Chuo Kikuu cha Katoliki cha Louvain huko Belgium kusomea kilimo. Alihudumu kama Waziri wa Utumishi wa Umma na Kazi hadi tarehe 23 Julai 2014 alipochukua nafasi ya Waziri Mkuu wa Rwanda, ambapo alitumikia hadi 2017. Kuanzia 2017 hadi 2020, alihudumu kama Mshauri Mkuu wa Rwanda.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kagame sacks prime minister, cabinet reshuffle expected". New Vision. 23 Julai 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Februari 2015. Iliwekwa mnamo 23 Julai 2014.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anastase Murekezi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |