Anaksimandro
Mandhari
Anaximander (Anaximandros; c. 610 – c. 546 KK) alikuwa mwanafalsafa wa Ugiriki ya Kale wa kipindi cha kabla ya Sokrates aliyefanya kazi katika Mileto,[1] mji wa Ionia (eneo ambalo leo ni Uturuki).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Anaximander" katika Chambers's Encyclopædia. London: George Newnes Ltd, 1961, Juzuu ya 1, uk. 403.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anaksimandro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |