Anaka
Mandhari

Anaka ni mji katika Mkoa wa Kaskazini huko Uganda. Ni eneo la makao makuu ya wilaya ya Nwoya.
Mahali
[hariri | hariri chanzo]Anaka ipo kwenye barabara ya Acholibur – Gulu – Olwiyo, barabara kuu kati ya Gulu na Pakwach . Ni takribani kilomita 53 (maili 33 ) kusini magharibi mwa Gulu, jiji kubwa zaidi katika mkoa mdogo.[1] Majiranukta ya mji huu ni 02°36'03.0"N, 31°56'52.0"E (Latitude:2.600839; Longitude:31.947775).
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Uganda bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Anaka kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |