Anabela Lemos
Mandhari
Anabela Lemos (alizaliwa 18 Februari 1953) ni mwanaharakati wa haki za binadamu wa Msumbiji. Lemos ni mwanzilishi mwenza wa Justica Ambiental!, shirika la haki za mazingira,mnamo mwaka 2024 alipokea tuzo ya haki ya kuishi kwa ajili ya kupinga miradi mikubwa ya kimataifa nchini Msumbiji.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Anabela Lemos / Justiça Ambiental!". Right Livelihood (kwa Kiingereza). 2004. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-10-03. Iliwekwa mnamo 2025-08-25.
- ↑ "Ativista moçambicana Anabela Lemos e JA! premiados por dedicação à justiça ambiental". RTP Notícias (kwa Kireno). 2024-10-03. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-10-03. Iliwekwa mnamo 2025-08-25.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anabela Lemos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |