Nenda kwa yaliyomo

Ana Júlia Ribeiro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ana Júlia Pires Ribeiro, anayejulikana zaidi kisiasa kama Ana Júlia (alizaliwa 30 Juni 2000), ni mwanaharakati wa wanafunzi na mwanasiasa wa Brazil kutoka chama cha Workers' Party PT. Anafanya kazi kama Mbunge wa Jimbo (state deputy) katika Bunge la Jimbo la Paraná tangu mwaka 2023.[1]


  1. "Ana Júlia" (kwa Kireno (Brazili)). Legislative Assembly of Paraná. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2026.

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ana Júlia Ribeiro kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.