An San

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

kwa mji wa Korea Kusini, tazama Ansan.

kwa Kikorea, jina la familia ni An.

An San(kihangul: 안산; kihanja: 安山), alizaliwa 27 Februari 2001, ni mshindani wa kike katika michezo wa kulenga shabaa kwa kutumia mishale wa huko korea ya kusini.ni mshindi wa medali tatu za dhahabu katika mashindano ya Michezo ya Olimpiki ya kiangazi ya mwaka 2020 katika timu ya wanawake, timu ya mchanganyiko na mashindano ya mmoja mmoja, alikua mshindi wa kwanza wa mchezo wa kulenga shabaa kwa kutumia mishale katika historia ya olimpiki aliweza kushinda katika michezo iliyofanyika kwa awamu moja[1][2]. pia aliweka historia mpya katika michezo ya olimpiki kwa kushinda pointi 680 katika michezo ya wanawake ya kulenga shabaa kwa kutumia mishale.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "San AN". Olympics.com. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  2. "Korean archer An San makes history with third gold medal". koreajoongangdaily.joins.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.