An Ba-ul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Judo An Ba-ul
Mchezaji wa Judo An Ba-ul

Hili ni jina la Kikorea, jina la familia anaitwa An

An Ba-ul(maarufu kama An Baul; Hangul: 안바울, Kikorea : [an.ba.ul; alizaliwa 25 Machi 1994) ni mwanamichezo wa judo huko Korea Kusini.[1]

An ndiye Bingwa wa zamani wa Dunia katika mchezo wa judo wa uzani mwepesi.[2] Alipata umaarufu kwa kuwa bingwa wa kwanza wa Korea Kusini wa uzani mwepesi katika zaidi ya muongo mmoja.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Baul AN / IJF.org". www.ijf.org. Iliwekwa mnamo 2021-12-17. 
  2. "Korean An Ba-Ul surprises elite taking the world title". www.judoinside.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-12-17.