Nenda kwa yaliyomo

Amsalu Aklilu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amsalu Aklilu (2 Septemba 192919 Desemba 2013) alikuwa mtunzi wa kamusi mbobezi wa Kiamhari na profesa wa lugha katika Chuo Kikuu cha Addis Ababa, akiwa mmoja wa watu mashuhuri katika taaluma ya masomo ya Ethiopia. Alizaliwa mjini Dessie, Wällo, alisoma katika shule ya kanisa ya hapo na baadaye alihitimu katika Shule ya Sekondari ya Holy Trinity mjini Addis Ababa.[1]

  1. p. 223. Gelaye, Getie. 2014. In memoriam Amsalu Aklilu 1929–2013. Aethiopica 17:223-226.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amsalu Aklilu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.