Amleto Giovanni Cicognani
Mandhari
Amleto Giovanni Cicognani (24 Februari 1883 – 17 Desemba 1973) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alihudumu kama Katibu wa Serikali ya Vatikani kutoka 1961 hadi 1969, na kama Mkuu wa Baraza la Makardinali kuanzia 1972 hadi alipofariki. Cicognani alitawazwa kuwa kardinali mwaka 1958. Ndugu yake, Gaetano Cicognani, naye alikuwa kardinali. Hadi sasa, wao ndio ndugu wa mwisho kuhudumu pamoja katika Baraza la Makardinali.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Pham, John-Peter (2004). Heirs of the Fisherman: Behind the Scenes of Papal Death and Succession. Oxford University Press. uk. 162. ISBN 978-0-19-517834-0. Iliwekwa mnamo 29 Machi 2018.
However Canon 232 §3 of the 1917 Code of Canon Law then in force prohibited anyone having a brother who was a cardinal from being himself a cardinal.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |