Amina Oyiza Bello
Mandhari
Amina Oyiza Bello (alizaliwa kwa jina la Yakubu; 2 Aprili 1978) ni mwanasheria na mfadhili kutoka Nigeria. Ni mke wa aliyekuwa Gavana wa Jimbo la Kogi, Yahaya Bello. Pia ni mwanzilishi wa Hayat Foundation, shirika lisilo la kiserikali linalosaidia na kutetea haki za watoto wenye ugonjwa wa kupooza kwa ubongo pamoja na watoto wenye ulemavu mwingine[1].
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Emmanuel Okogba (2017-02-16). "I was mocked, stigmatised for having a cerebral palsy child —Amina Bello, Kogi First lady". Vanguard News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2026-08-29.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Amina Oyiza Bello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |