Nenda kwa yaliyomo

Amina Nababi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amina Nababi
Maelezo binafsi
Jina kamili Amina Nababi
Tarehe ya kuzaliwa 1998 au 1999
Mahala pa kuzaliwa    Uganda
Nafasi anayochezea Beki wa Kati
Maelezo ya klabu
Klabu ya sasa FUFA
Klabu za vijana
FUFA
Klabu za ukubwani
Miaka Klabu
Makerere,FUFA
Timu ya taifa
Uganda

* Magoli alioshinda

Amina Nababi, (alizaliwa 1998 au 1999) ni mchezaji wa Uganda aliecheza kama beki wa kati kwenye timu ya FUFA ya ligi bora ya chama cha wanawake chuo cha Makerere WFC na timu ya taifa ya wanawake Uganda[1]

Maisha ya Klabu

[hariri | hariri chanzo]

Nababi amechezea Chuo Kikuu cha Makerere Uganda[2].

Taaluma ya kimataifa

[hariri | hariri chanzo]

Nababi alifungia uganda katika ngazi ya juu,mwaka 2019 CECAFA Women championship na mwaka 2021 COSAFA Women championship.