Nenda kwa yaliyomo

Amina J. Mohammed

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Amina J. Mohammed
binadamu
Taarifa za jumla
Jinsiakike Hariri
Nchi ya uraiaNigeria, Ufalme wa Muungano Hariri
Jina halisiAmina, Jane Hariri
Jina la familiaMohammed Hariri
Tarehe ya kuzaliwa27 Juni 1961 Hariri
Mahali alipozaliwaJimbo la Gombe, Liverpool Hariri
MtotoNadine Ibrahim Hariri
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihiKiingereza, Nigerian Pidgin, Kihausa Hariri
Kazipolitician, waziri Hariri
MwajiriUmoja wa Mataifa, Chuo Kikuu cha Columbia Hariri
Nafasi ilioshikiliwaDeputy Secretary-General of the United Nations, Minister of Environment Hariri
AlisomaUniversity of Reading, Henley Business School, The Buchan School Hariri
Affiliation stringMinistry of Environment of Nigeria, United Nations Hariri
DiniUislamu Hariri
AmeshirikiWorld Economic Forum Annual Meeting 2016, IMF 2019 Annual Meetings Hariri
Mwanachama waAmerican Academy of Arts and Sciences Hariri
Tuzo iliyopokelewaBBC 100 Women, Grand Commander of the Order of the Niger, Civil Division, Sarraounia Hariri
Personal pronounL484 Hariri

Amina Jane Mohammed [1] (27 Juni 1961) ni mwanadiplomasia na mwanasiasa wa Nigeria na Uingereza ambaye kwa sasa anahudumu kama Naibu Katibu Mkuu wa 5 wa Umoja wa Mataifa.[2]

Awali, alikuwa Waziri wa Mazingira wa Nigeria kuanzia mwaka 2015 hadi 2016,[3] na alikuwa mshiriki muhimu katika mchakato wa Post-2015 Development Agenda. Pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Maendeleo Endelevu la Umoja wa Mataifa.

  1. "Full List: Okonjo-Iweala, Abba Kyari... FG nominates 437 persons for national honours". TheCable. 2 Oktoba 2022. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2022.
  2. Igbonwelundu, Precious (2025-01-14). "UN mobilises support for regional stability, others as deputy Sec.-Gen. visits Nigeria". The Nation Newspaper (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-02-01.
  3. "Amina J. Mohammed resumes at the Federal Ministry of Environment as Minister". Oak.tv. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 14 Aprili 2019. Iliwekwa mnamo 27 Februari 2017.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amina J. Mohammed kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.