Nenda kwa yaliyomo

Amie Comeaux

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Amie Noelle Comeaux (4 Desemba 197621 Desemba 1997) alikuwa mwimbaji wa muziki wa country kutoka Marekani ambaye alipata umaarufu akiwa na umri mdogo.[1][2]

  1. "Amie Comeaux | Album Discography". AllMusic. 1998-06-30. Iliwekwa mnamo 2020-03-22.
  2. Keel, Beverly (1998-01-12). ""Before Her Time": Country music loses Amie Comeaux". Nashville Scene. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-08-15. Iliwekwa mnamo 2008-01-07.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Amie Comeaux kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.